Mkopo wa Biashara
- Service Type: Credits (Loans)
- Date Created: 2 years ago
Mkopo wa Biashara
- kiwango cha juu cha mkopo 15mil
- Riba ya mkopo wa Biashara ni 14.4%
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi 60
- Mwanachama ana uhuru wa kukopa kiwango ambacho hakizidi mara tano ya Akiba yake.
- Kiwango cha juu cha mkopo kitategemea uwezo wa mshahara wa mwanachama husika na kwa wastaafu kitategeme 75% jumla ya Akiba na Hisa zake