Wazo Pesa
- Service Type: Deposits
- Date Created: 1 year ago
Wazo Pesa
Amana ya kawaida ni akaunti ya hiari na wanaoruhusiwa kufungua na kuweka Amana ni Wanachama kwa utaratibu ufuatao:-
- Kiasi cha chini cha kufungulia akaunti ni Tshs. 20,000/=
- Gharama za kupata kadi za ATM Tsh 15,000/=
- Kiasi kitakachoanza kulipwa riba ya asilimia 3% kwa mwaka ni kuanzia Tshs. 2,000,000/=
- Kiasi cha Amana kilichowekwa kama dhamana hakitaruhusiwa kupunguzwa au kuchukuliwa mpaka mkopo uliodhaminiwa urejeshwe wote.
- Kiasi cha amana iliyowekwa kama dhamana ya mkopo kwa Mwanachama aliyekopa au kiasi alichomdhamini mwanachama mwingine, kiasi hicho hakitatumika tena kudhamini/kujidhamini kuchukua mkopo mwingine.
- Mwanachama atalipwa amana zake siku husika atakayoomba.
- Mwanachama aliyepoteza kadi/stakabadhi, atawajibika kuleta taarifa ya Polisi inayothibitisha upotevu huo; kadi mpya itatolewa baada ya muda wa siku kumi na nne (14) na mhusika atalipa gharama ya shs. 20,000/=.