Wazo Kikundi
- Service Type: Deposits
- Date Created: 1 year ago
Wazo Kikundi
Akaunti ya wazo Kikundi
(Wasio wanachama wa wazo hill saccos)
Mwanachama akitaka kufunga akaunti hii, atapoteza sifa za kupata faida zilizozalishwa katika mwaka husika
Utaratibu wa akaunti hii, utakuwa kama ifuatavyo
- Kikundi kitafunguliwa na wasio wanachama wazohill saccos
- Kikundi kiwe na idadi ya wanachama wasiopongua 20
- Kiwango cha kufungua akaunti ya kikundi ni laki tano(500,000)
- Riba juu ya akiba ni asilimia 5 % kwa akiba za kikundi
- Kiwango cha juu cha mkopo ni milioni tano(5,000,000) kwa mwanakikundi
- Mwakilishi wa kikundi ataruhusiwa kuhudhuria mkutano mkuu
- Kikundi kitapata gawio la mwaka kutokana na faida
- Kikundi kinatakiwa kununua hisa za msingi kiasi cha shilingi milioni nne(4,000,000)
- Mchango wa hisa kila mwezi kwa mwanachama ni shilingi elfu kumi(10,000)
- Mchango wa akiba kila mwezi ni shilingi elfu ishirini( 20,000)
Riba ya mkopo ni 17%