info@wazohillsaccos.co.tz +255 764 472 730

Mkopo wa Nipe Tafu

  • Service Type: Digital Services
  • Date Created: 1 year ago

Mkopo wa Nipe Tafu

  • Kiwango cha juu ni shilingi 20,000
  • Kiwango cha Riba ni 5%
  • Kigezo cha kupata mkopo ni kipato cha Mwanachama mwenyewe 
  • Mwanachama mwenye malazo kwenye mikopo mingine hawezi kupata mkopo huu
  • Mwanachama hupata mkopo mara moja kwa mwezi ili kusaidia kutatua mahitaji madogo madogo