Wazo Kibubu
- Service Type: Deposits
- Date Created: 1 year ago
Wazo Kibubu
Mwanachama akitaka kufunga akaunti hii, atapoteza sifa za kupata faida zilizozalishwa katika mwaka husika
Utaratibu wa akaunti hii, utakuwa kama ifuatavyo:
- Fedha zitatolewa na mzazi/ mlezi hadi mtoto huyo atakapofikisha umri wa miaka 18, ambapo mzazi/mlezi atatoa idhini ya maandishi kwa mtoto husika kuwa ataendesha akaunti yake mwenyewe.
- Kiwango cha chini cha kufungua akaunti ni Tsh 50,000/=
- Mwenye Akaunti hii, hatoruhusiwa kuchukua hela wakati wowote isipokua mara moja kwa mwaka. (desemba)
- Fedha katika akaunti hii zitalipwa riba kiasi cha asilimia 5% kwa mwaka.
- Fedha katika akaunti hii, haiwezi kutumika kama dhamana ya mkopo