Mkopo Binafsi
- Service Type: Credits (Loans)
- Date Created: 2 years ago
Mkopo Binafsi
- kiwango cha juu cha mkopo 30mil
- Riba ya mkopo wa Binafsi ni 13.5%
- muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi 36
- kiwango cha juu cha mkopo kitategemea uwezo wa mshahara wa mwanachama husika na kwa wastaafu kitategeme 75% jumla ya Akiba na Hisa zake