info@wazohillsaccos.co.tz +255 764 472 730

Akaunti ya wazo Mtoto (Dogo Dogo A/C)

  • Service Type: Deposits
  • Date Created: 1 year ago

Akaunti ya wazo Mtoto (Dogo Dogo A/C)

Mwanachama akitaka kufunga akaunti hii, atapoteza sifa za kupata faida zilizozalishwa katika mwaka husika

 Utaratibu wa akaunti hii, utakuwa kama ifuatavyo:

  • Fedha zitatolewa na mzazi/ mlezi hadi mtoto huyo atakapofikisha umri wa miaka 18, ambapo mzazi/mlezi atatoa idhini ya maandishi kwa mtoto husika kuwa ataendesha akaunti yake mwenyewe.
  • Kiwango cha chini cha kufungua akaunti ni Tsh 50,000/=
  • Mwenye Akaunti hii, anaruhusiwa  kuchukua hela mara mbili kwa mwaka (mwezi wa 6 na mwezi 12)
  • Fedha katika akaunti hii zitalipwa riba kiasi cha asilimia 5% kwa mwaka.
  • Fedha katika akaunti hii, haiwezi kutumika kama dhamana ya mkopo