info@wazohillsaccos.co.tz +255 764 472 730

Mkopo wa Biashara

  • Service Type: Credits (Loans)
  • Date Created: 2 years ago

Mkopo wa Biashara

  • kiwango cha juu cha mkopo 15mil
  • Riba ya mkopo wa Biashara ni 14.4%
  • Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi 60
  • Mwanachama ana uhuru wa kukopa kiwango ambacho hakizidi mara tano ya Akiba yake.
  • Kiwango cha juu cha mkopo kitategemea uwezo wa mshahara wa mwanachama husika na kwa wastaafu kitategeme 75% jumla ya Akiba na Hisa zake